Tafuta msaada wa haraka, angalia mwongozo, au wasiliana nasi moja kwa moja. Timu yetu ipo kukusaidia wakati wote.
Chagua kategoria unayohitaji msaada nayo.
Jinsi ya kufungua akaunti, kuthibitisha, na kuanza kutumia ASACOHUB.
Jifunze ZaidiJinsi ya kukamilisha wasifu, kupakia documents, na kusubiri uthibitisho.
Jifunze ZaidiJinsi ya kusajili chuo, kupakia NACTVET, na kuanza kupokea leads.
Jifunze ZaidiJinsi ya kulipia lead kwa TZS 2,000 na kupata taarifa za mawasiliano.
Jifunze ZaidiJinsi ya kuomba vyuo hadi 3, kufuatilia maombi, na kupata joining instructions.
Jifunze ZaidiJinsi tunavyolinda taarifa zako na faragha yako kwenye ASACOHUB.
Jifunze ZaidiMaelezo ya kina kwa kila kategoria.
Fungua akaunti bure kwa jina, email, na simu. Thibitisha kwa OTP.
Jaza taarifa za kielimu, documents, na subiri uthibitisho wa SuperAdmin.
Omba vyuo hadi 3 kwa wakati mmoja. Chagua program unayotaka.
Angalia hali ya maombi yako kwenye dashboard yako.
Ukiidhinishwa, pakua joining instructions kwenye akaunti yako.
Fungua akaunti ya chuo kwa jina la mwakilishi.
Pakia NACTVET RegNo na certificate halali kwa uhakiki.
Pokea maombi ya wanafunzi kama leads na uone taarifa za kielimu.
Lipia TZS 2,000 kwa mobile money ili kupata contacts.
Wasiliana na mwanafunzi, fanya admission, na pakia joining instructions.
Tunatumia mobile money kupitia SplashPay (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel, Halo).
TZS 2,000 kwa mwanafunzi mmoja. Unalipia baada ya kukubali lead.
Malipo ya lead hayarudishwi kwa sababu lead inafunguliwa mara moja.
Risiti inatumwa kwenye barua pepe yako baada ya malipo kukamilika.
Wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp kama una tatizo la malipo.
Tunapendekeza Chrome, Firefox, Safari, au Edge ya kisasa.
Tovuti yetu inafanya kazi vizuri kwenye simu, tablet, na kompyuta.
Tumia "Forgot Password" kwenye ukurasa wa login.
Nenda kwenye profile yako na uchague "Delete Account".
Wasiliana nasi kwa Contact page kama una tatizo la kiufundi.
Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Ndiyo, kwa wanafunzi kujiunga na kuomba vyuo ni bure kabisa. Vyuo ndio hulipia lead.
Unaweza kuomba vyuo hadi vitatu (3) kwa wakati mmoja.
Gharama ya lead ni TZS 2,000/= kwa mwanafunzi mmoja.
Kama chuo hakitajibu ndani ya siku 30, ASACOHUB inatoa warning na kinaweza kubanwa.
Tunatumia mobile money kupitia SplashPay (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel, Halo).
Tunatumia encryption, CSRF, XSS, SQL Injection prevention, na OTP kwa usalama wa taarifa zako.
Wasiliana nasi kwa njia yoyote ile hapa chini.
Fungua akaunti yako bure na anza kuomba vyuo hadi 3.
👋 Hi there! Need help choosing a college? Chat with us on WhatsApp.
Start Chat →