Hatua rahisi kwa wanafunzi na vyuo kuanza kutumia jukwaa letu. Kila kitu kimeundwa kuwa rahisi, haraka, na salama.
Kila upande una hatua 6 rahisi za kufuata.
Fungua akaunti bure kwa jina lako, barua pepe, na namba ya simu. Thibitisha kwa OTP inayotumwa kwenye simu yako.
Inachukua dakika 2 tuJaza taarifa zako za kielimu (Form IV, Form VI), region, na documents. Pakia certificate na profile photo.
Documents zina hakikiwaSuperAdmin anahakiki taarifa zako. Ukipitishwa, unapata taarifa kwa SMS na Email na unaweza kuanza kuomba vyuo.
Kawaida ndani ya saa 24Vinjari vyuo vilivyothibitishwa, chuja kwa Health/Non-Health, region, na ownership. Linganisha programs na fee.
Vyuo 50+ vilivyothibitishwaChagua vyuo hadi vitatu unavyopenda na uwasilishe maombi yako. Chuo kinapokea maombi yako kama lead.
Hakuna malipo kwa mwanafunziUkiidhinishwa na chuo, lipia application fee, pakia proof, na upate joining instructions kwenye akaunti yako.
Moja kwa moja kwenye akauntiFungua akaunti ya chuo kwa jina la mwakilishi. Weka barua pepe ya chuo na namba ya simu ya mawasiliano.
Dakika 3 tuPakia NACTVET RegNo, certificate halali, picha za chuo, programs, fee structure, na taarifa nyingine muhimu.
NACTVET inahitajikaASACOHUB inahakiki na kuthibitisha chuo chako. Ukithibitishwa, chuo chako kinaonekana kwa umma na kupokea leads.
Kawaida ndani ya siku 2Pokea maombi ya wanafunzi kama leads. Unaona taarifa za kielimu (bila contacts) ili kuamua kukubali au kukataa.
Notification kwa SMS + EmailKubali lead na ulipie TZS 2,000 kwa mobile money. Ukishalipia, taarifa kamili za mawasiliano zinafunguliwa.
M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel, HaloWasiliana na mwanafunzi, fanya admission kwenye mfumo, na pakia joining instructions kwa mwanafunzi.
Jibu ndani ya siku 30Sababu sita zinazotufanya tuwe jukwaa bora la kuunganisha wanafunzi na vyuo.
Vyuo vyote kwenye ASACOHUB vinahakikiwa na kuthibitishwa. Hakuna vyuo vya uongo.
Omba vyuo hadi vitatu kwa mchakato rahisi, bila usumbufu wa karatasi.
Pokea taarifa za maombi yako kwa SMS na Email, wakati wowote.
Contacts zinaonekana kwa chuo tu baada ya kulipia lead. Faragha yako inalindwa.
Vyuo vinapangwa kwa utendaji, siyo idadi ya leads pekee. Hii inakuza ubora.
Timu yetu ipo kukusaidia wakati wote, kwa simu, barua pepe, au WhatsApp.
Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Ndiyo, kwa wanafunzi kujiunga na kuomba vyuo ni bure kabisa. Vyuo ndio hulipia lead ili kupata taarifa zako za mawasiliano.
Unaweza kuomba vyuo hadi vitatu (3) kwa wakati mmoja. Ukishajibiwa, unaweza kuomba tena kama unataka.
Gharama ya lead ni TZS 2,000/= kwa mwanafunzi mmoja. Unalipia tu baada ya kukubali lead na kuona taarifa za kielimu.
Kama chuo hakitajibu ndani ya siku 30, ASACOHUB inatoa warning. Kama bado, chuo kinaweza kubanwa na profile kuondolewa.
Wasiliana nasi moja kwa moja na timu yetu itakusaidia haraka.
Fungua akaunti yako bure na anza kuomba vyuo hadi 3.
👋 Hi there! Need help choosing a college? Chat with us on WhatsApp.
Start Chat →